ads

ALLY RAJABU "KOBI"
   kobi ni kijana anayejishughulisha na kazi za ujenzi kama zifuatazo


                 Picha ya kijana Ally akiwa kazini-Dar es salaam

1)kupaka rangi nyumba
2)kutia tails
3)kutia gupsum
4)ujenzi wa nyumba  na pia shughuli mbalimbali za ujenzi, Anapatikana ZANZIBAR na shughuli zake nyengine huwa anazifanya Dar es salaam, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715208692 au 0777208692

      Hii ndiyo kazi ya Ally kobi katika ustadi wa kuweka tails

Post a Comment

0 Comments