ads

Assalam alaykum 
       Namshukuru Allah kwa kuniwezesha leo hii nikapata fursa ya kuwaelezea habari za uislam na waislam wa zama za mtume Muhammad (saw) ama kwa hakika uislam ulipata nguvu pale alipokuja kusilimu HAMZA na OMARY BIN KHATAB katika mwaka wa tano ndiyo mwaka ambao waliosilimu wanaume hao wawili na ilikuwa ni kama nuru katika uislam na uislam ulipata heshima na Amani katika zama hizo na Mtume Muhammad (saw)

Post a Comment

0 Comments